Kutembea ukiwa umelala ama Sleepwalking ni hali ambayo mtu anaendelea kufanya shughuli kama anazofanya akiwa macho lakini akiwa usingizini . Hali hii pia huitwa somnambulism kwa lugha ya kitaalam .
Kundi la akina dada watupu waendesha pikipiki, wanaojiita the Inked Sisterhood, mara nyingi huwashangaza watu katika jamii nchini Kenya. Chanzo cha picha, Katie Cashman Kundi hilo hivi karibuni ...
‎ ‎Jeshi la Polisi mkoani Iringa limefanikiwa kukamata pikipiki 115, vibao 19 vya namba bandia na kiasi cha sh.milioni 6.43 ...
Pikipiki za bei nafuu nchini Uganda zimekuwa baraka na laana kwa mji mkuu wa Kampala. Zinatoa ajira kwa sehemu kubwa ya vijana wa taifa hilo, lakini pia zinatazamwa kama kero ya mjini katika mitaa ...
Mjini Kigali waendesha boda boda wanafurahia hatua kubwa iliyopigwa kwa usafiri wa pikipiki ama boda boda, zinazotumia umeme kwa kusafirisha wateja. Kuhusu utumiaji wa betri za umeme, Nkomeje Eric ...
Wiki chache zilizopita, tulikuletea makala kuhusu pikipiki za umeme, na kupitia ukurasa wetu wa Facebook RFI KIswahili, tukawa na maswali mengi kuhusu pikipiki hizi. Katika makala haya tumemwalika, ...
Serikali ya Uganda imesaini mkataba na kampuni moja ya Urusi ili itekeleze mpango wa kutoa nambari za magari na pikipiki za kidigitali. Hili ni thibitisho la azma ya utawala wa rais Yoweri Museveni ...